Au kaenda kutibiwa kama marehemu waziri wa fedha William Mgimwa!
mmmh,ww ni hatari sana.lol!!
Hajaenda kokote yupo tu anauguza, ana wanawake wawili mchaga na mpare kwa bahati mbaya wanawake zake hawa walipigana hadi mmoja aliumia vibaya sana akalazwa hospital moja binafsi hapo Tabata, sasa mzee anamwuguza, walikuwa wanagombania ngawila