Yuko wapi jf member katoto kazuri

kwenye uandishi ndio kunaharibu
Lazima mafile yapandane πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna kitu uliniambiaga siku moja aiseee!!
Dada ulikuwa sahihi, nilifanya uchunguzi wangu..!! Nimekunyooshea mikono πŸ™Œ
Najua umesahau ila ipo siku ntakukumbusha 😘
 
Lazima mafile yapandane

Kuna kitu uliniambiaga siku moja aiseee!!
Dada ulikuwa sahihi, nilifanya uchunguzi wangu..!! Nimekunyooshea mikono

Najua umesahau ila ipo siku ntakukumbusha
unakumbuka eenh nilikwambia na ukawa kama haujakubali ulipotezea nilivyokwambia kipenzi
 
Sikupotezea sis ila niliingia kufanya uchunguzi si unajua mdogo ako tomaso siamini mpk niguse


Ni kweli ulikuwa sahihi kabisa, nakupa maua yako
Maua yangu napokea kipenzi
yale mambo yalikuwa hayajaanzia pale nilishatumiwa shots mda kabla ya yale kwa I'd yake kabisa nikajionea tu ni marudio ndio maana nikakwambia siku utajua ukweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…