Ahh wap,yule dada ni msweden kamix na tz ,mchaga na nywele za kizungu wap na wap?mchaga atabakia kuwa mweupe lakini kipilipili palepale hata uweke dawa gani kichwani utajulikana 2 kuwa asili yako kipilipili
jackbaur.
hajapotea tungetangaziwa tbc kama angepotea kana mtu alileta uz humu kuwa anafukuzia uponge kawe am toe mdee kupitia ccm so anafanya upembuz yakinifu
Alirudi TBC kuna kipindi alikuwa anakifanya jina nimelisahau ila nakumbuka kama kilikuwa cha maswala ya afya huko vijijini na kwasasa yupo Tumaini University campus ya dar anasoma shahada ya kwanza ya uandishi wa habari