Mnatafuta wachawi tu yani Haki watafute wengine mseme kuna watu waliratibu achaeni uzwazwa mfano leo ukinyimwa haki ulitaka ukaongozwe na janury ujue haki yako.
Hatununui huu uongo mazee. Na habari za January kawaulize washirika wake wakina Nape, Kikwete, Kinana na Baba yake Mzee makamba au wakina ummy sisi wengine hazituhusu.
"Inasemekana ana mkono kwenye issue ya 29 Ictober. Eti ni miongoni mwa sponsors wa genZ" Huu ni umbea wa wazi kabisa na ambao hautakiwi kufanywa na mtu wa jinsia ya kiume.