Mzee wa ngunguri namkumbuka sana kwenye propaganda yake ya kontena la visu aina ya majambia alilotaka kuaminisha umma kuwa lililetwa na Cuf kwa ajili ya kuvuruga amani ya nchi......poor are u Mahita
Acha tujivunie kiingereza aisee.....poor are u Mahita.
Unachezea bahati si mnasemaga wazee wanajua kulea!ah wapi! sikutan nae mara nying anapunguzaga mwendo mie huyooooooooooooo
Acha tujivunie kiingereza aisee.....poor are u Mahita.
Sasa mnapoona makosa ya namna hii fanyeni kusahihisha ili wakati mwingine yasijirudie.Hii lugha ya wenyewe , wakati mwingine inachanganya kweli!
Maisha kusaidiana mkuu, huo ndio ugonjwa wakehuyu baba jaman huwa namfikirianashindwa mmaliza! kakanyaga km beki 3 km7 za pale mtaan kwao! yaan akukute hata barabaran saa 1 asbh atasimama na kuomba namba yako.. anakula wanawake wanaoirahsi uwiiiiiiii kifupi anakula wanawake wa ajabu kuwah kutokea aic! huwa simsalimii mie..pyeeeee
Ametuliza boliHuyu Mbabe sijamsikia kwa kipindi kirefu, mwenye kujua taarifa zake aje atujuze.
Asingepenya mbele ya Mwenyekiti Mkwere! Kama Mamba na Mbwa hao!Mahita aliwahi kuomba nafasi ya kugombea ubunge Morogoro, akapigwa chini katika kura za mchujo.
Amekua mtu wa swala tano na msimamizi wa msikiti unaitwa msikiti wa mahita moro kata ya mafigaHuyu Mbabe sijamsikia kwa kipindi kirefu, mwenye kujua taarifa zake aje atujuze.
Ndio Ngome yake. Ukimuona oysterbay ujue kaja kuhakiki salio. Ijumaa moja moja anaonekana msikiti 'wake' wa MAFIGA Moro town.
Kwani kuna mtu kakuuliza wewe dini gani?Kawaida yetu Waislamu tunapo staafu hatunaga Mbwembwe.
cc AIGIP wa sasaJamaa alikuwa amekaa kimafiamafia, nashangaa maIGP sahivi warembo tu hata huwezi dhani maIGP, kama yule Mangu alikuwa mpole sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu yani umenichekesha sana sanaaAcha tujivunie kiingereza aisee.....poor are u Mahita.
Maisha kusaidiana mkuu, huo ndio ugonjwa wake
Unachezea bahati si mnasemaga wazee wanajua kulea!
Teh teh teh...Nimecheka sana......Morogoro anapambana na house girl wake
Ndio maana tunauliza kwa maana umemshangaa anachukua wanawake wabovu ina maana wewe ukobfresh sasa alivyojaribu to hit on you ambaye ni bomba matokeo yalikuwaje?wee! hahha majanga.... lol!unazan wanawake wote wanataka wanaume vito...? ah wapi
Beki tatu wanawake wa ajabu eh? Inaelekea hujii tofauti ya kuku wa kienyeji na mabroiler!
Sent using Jamii Forums mobile app