Mzuka wanaJF!
Dogo kawa kimya sana tangu alipokamatwa na kuswekwa ndani kwa kumdhihaki picha aliyeenda zake.
Sijui walimfanyia nini kituoni Oysterbay?
Yani hadi kasusa mitandao ya kijamii. Asiogope ajitokeze tu sasa hivi tumeona watu wanaujasiri kama CAG, Ndugai na Assad.
Pia Mo na Roma wajitokeze waseme yote waliofanyiwa kuna utawala mpya sasa hivi.