Yuko wapi Gwajima na anaogopa nini wakati anachofanya si kosa?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,426
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?

Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.

Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.

Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. 😛😛😛😛😛😛😛
 
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo? Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana. Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima. Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. 😛😛😛😛😛😛😛
Anaishi km hao sahivi
 
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?

Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.

Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.

Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. 😛😛😛😛😛😛😛
Malikia hatumii sheria siku hizi.

Nondo zinapigwa vichwani kama Padre kitima.

🚮🚮🚮
 
Hii ndio concern yangu kwa viongozi wa dini hapa Tanzania. Kama kuna viongozi wa dini wanyenyekevu, wanaojua mipaka yao, wanaojua kuwa kujua kuhubiri madhabahuni na kumtamka Yesu mara kwa mara hakukufanyi kuwa bingwa wa kila kitu hapa duniani, basi viongozi hao wamebaki wachache sana hapa Tanzania.

Wengi wa viongozi hawa ni wanasiasa part II; as long as kwenye dini kumeonekana kuwa sehemu nyepesi ya kuwafanya kuwa mabwanyenye na miungu watu kwa waumini wa makanisa yao basi wanafikifiri huo ubwanyenye watamfanyia kila mtu. No. Mungu yupo na huwainua wanyenyekevu na kuwapinga wenye kiburi. Sipendi jinsi dini (hasa ukristo wa madhehebu binafsi binafsi) zinavyoendeshwa hapa Tanzania.
 
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?

Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.

Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.

Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. 😛😛😛😛😛😛😛
Hahaha 😂 Gwajiboy ni Jasusi la mbinguni. Familia ya wale wote wanaohusika wamejilaani maana hata enzi na enzi zinajulikana hakuna aliyeshindana na nguvu ya Mungu akatoboa. Death Death Death is coming kwa watawala, be assured. Sisi wakereketwa wa Dkt Magufuli tunao ushahidi, he is dead! 💀. So tega sikio, kama Dkt Magufuli died kwa kuminya demokrasia na kunyanyasa viongozi wa dini je nani atasimama????? Ni mtu mjinga tu na idiot will fight na watu wa Mungu. Uzuri mambo ya Mungu it can take sometimes ila nakuhakikishia lipo. Ushahidi ni mwingi wa waliokufa baada ya kugombana na viongozi wa dini. Rejea huu uzi ikitokea.
 
Kwani wanasiasa siyo watu wa Mungu au umechanganya mambo kama siyo kukuchanganya ukachanganikiwa?
 
Hahaha 😂 Gwajiboy ni Jasusi la mbinguni. Familia ya wale wote wanaohusika wamejilaani maana hata enzi na enzi zinajulikana hakuna aliyeshindana na nguvu ya Mungu akatoboa. Death Death Death is coming kwa watawala, be assured. Sisi wakereketwa wa Dkt Magufuli tunao ushahidi, he is dead! 💀. So tega sikio, kama Dkt Magufuli died kwa kuminya demokrasia na kunyanyasa viongozi wa dini je nani atasimama????? Ni mtu mjinga tu na idiot will fight na watu wa Mungu. Uzuri mambo ya Mungu it can take sometimes ila nakuhakikishia lipo. Ushahidi ni mwingi wa waliokufa baada ya kugombana na viongozi wa dini. Rejea huu uzi ikitokea.
Dini iwe hiyo ya Gwajima mfufuaji wa misukule ya usanii
 
Back
Top Bottom