Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,750 Reaction score 37,401 Jan 17, 2023 #1 Fresh jumbe siku hizi yuko wapi au katokomea huko Japan. Huyu jamaa na mfanisha na mtoto wa dandu mziki wao wanavofanya wakichanganya mambele na nyumbani. Mwenye kujua huyu fresh jumbe
Fresh jumbe siku hizi yuko wapi au katokomea huko Japan. Huyu jamaa na mfanisha na mtoto wa dandu mziki wao wanavofanya wakichanganya mambele na nyumbani. Mwenye kujua huyu fresh jumbe
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,514 Reaction score 42,649 Jan 17, 2023 #2 chizcom said: Fresh jumbe siku hizi yuko wapi au katokomea huko Japan. Huyu jamaa na mfanisha na mtoto wa dandu mziki wao wanavofanya wakichanganya mambele na nyumbani. Mwenye kujua huyu fresh jumbe Click to expand... Muulize RayC
chizcom said: Fresh jumbe siku hizi yuko wapi au katokomea huko Japan. Huyu jamaa na mfanisha na mtoto wa dandu mziki wao wanavofanya wakichanganya mambele na nyumbani. Mwenye kujua huyu fresh jumbe Click to expand... Muulize RayC
smaki JF-Expert Member Joined Jan 23, 2019 Posts 4,975 Reaction score 3,121 Jan 17, 2023 #3 chizcom said: Fresh jumbe siku hizi yuko wapi au katokomea huko Japan. Huyu jamaa na mfanisha na mtoto wa dandu mziki wao wanavofanya wakichanganya mambele na nyumbani. Mwenye kujua huyu fresh jumbe Click to expand... Yuko hapa, mitaa ya ''kyoshi jua paka!.....amekwisha kwa kweli!! muziki bila kipaji ni kazi! alianzaga kitambo sana nikiwa kadogooo!
chizcom said: Fresh jumbe siku hizi yuko wapi au katokomea huko Japan. Huyu jamaa na mfanisha na mtoto wa dandu mziki wao wanavofanya wakichanganya mambele na nyumbani. Mwenye kujua huyu fresh jumbe Click to expand... Yuko hapa, mitaa ya ''kyoshi jua paka!.....amekwisha kwa kweli!! muziki bila kipaji ni kazi! alianzaga kitambo sana nikiwa kadogooo!
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,307 Reaction score 32,795 Jan 17, 2023 #4 Ngoja waje