baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 11,495
- 12,107
Mbowe alizoea kuishi kwa siasa za kilaghai siasa kupitia damu za watu na kutengeneza wealth. Alivyokuja mwamba Magufuli akaona kumbe upinzani wanapiga kelele then unawaita Ikulu unawapa bahasha zenye minofu then wanatulia baadae njaa ikiuma wanawasha tena moto then unawaita tena mzee akaona hamna upinzani. Bora pesa hizo zipelekwe kwenye miradi ya Maendeleo ndo maana Magufuli pesa ya kufanyia maendeleo aliipata pamoja na kwamba alikua anakopa na kazi ilikua inafanyika tuliona.
Magufuli akaondoka mzee Mbowe akarudi kuendeleza siasa za nusu mkate hapa ndo akakutana na Jabali jingine linaitwa Antiphas Lissu Mgwahi huyu ndo kamtupa nje kabisa kwenye siasa za tanzania. Mbowe alishindwa kusoma majira na nyakati. Mbowe ameshindwa kufika hata Mahakamani kumuona mwenyeki wake? Chadema kwa nini mpaka mda huu hamjamfukuza uanachama Mbowe au mnamuogopa?