yuko wapi Frank Mtao??

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,409
6,555
habari zenu wadau. Leo nimemkumbuka Frank Mtao mtangazaji aliyejipatia umaarufu kweny kipindi cha Nani ni Nani, ktk channel Ten. Ni muda mrefu umepita bila kumsikia..mwenye taarifa atujuze. Ahsanteni
 
Alihamia Japan baadae Australia ndiko anakoishi sasa. Ameoa, ana mke na mtoto. Mwaka jana alirudi Tz kusalimia.

Yeye na Anwaar Said ndio walikuwa wamiliki wa 2eyes Production ya mwanzo ya video za Bongo Fleva!.

thanx mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom