mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
picha ya mwisho alikuwa hivi etiii
Kitambo kileee,alipakaziwa sana kuwa ana umeme,na Profesa wa mitulinga ametafuna sana huu mzigo,ni mmoja wa
wanamitindo waliotamba kimtindo enzi zake...

professor uhakika hata wanjara kapitaga naeStoti za Prof kua yupo kwenye Grid niliziskia humu JF...pia nimesikia na Hemedi PHD nae yuo kwenye Mkondo wa taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitambo kileee,alipakaziwa sana kuwa ana umeme,na Profesa wa mitulinga ametafuna sana huu mzigo,ni mmoja wa
wanamitindo waliotamba kimtindo enzi zake...
Mwenyewe nimemuangalia nikajisemea kama huyu ndio alitikisa jiji basi kweli kuna wakati jiji liliangukia mikononi mwa wanyang'anyi.
Yani huyu alikuwa mwanamitindo na alitamba! Kweli hii nchi imetoka mbali!Kitambo kileee,alipakaziwa sana kuwa ana umeme,na Profesa wa mitulinga ametafuna sana huu mzigo,ni mmoja wa