WanaJf naomba kujua alipo huyu jamaa mtanzania mwenzetu, dr Ndodi, mtaalamu wa dawa za asili maana alifanya sana kazi ya kusaidia baadhi ya watanzania.
Huyu bwana alikuwa anapinga kunenepa na kuota vitambi, baada ya kupiga hela yeye naye kitambi kikaanza kutoka loh!! Mtanzania zaidi ya umjuavyo
Mzee wa upako yupoo???
Yule jamaa ni msanii,hana tofauti na mzee wa upako
Kwa mwny mawacliano naye ajarb kumcall ndpo 2tajua alpo bt katb wtz pamoja nakufundsh afya kiufasaha
Saivi ana-act bongo movie.
Kwa mwny mawacliano naye ajarb kumcall ndpo 2tajua alpo bt katb wtz pamoja nakufundsh afya kiufasaha
WanaJf naomba kujua alipo huyu jamaa mtanzania mwenzetu, dr Ndodi, mtaalamu wa dawa za asili maana alifanya sana kazi ya kusaidia baadhi ya watanzania.
ametapeli watu vya kutosha- may he rest in pieces