Yuko wapi Dr Louis Shika?

Yuko wapi Dr Louis Shika?

Waliokuwa wanamtumia hawamhitaji tena! Si unakumbuka ametumika sana kuhamisha magoli! Kwanza, wakati wa uuzwaji wa nyumba za Lugumi; na pili, wakati ilipodaiwa chenji yake kiasi $ 60 milioni na matofali ya dhahabu kadhaa. Kumbe usanii mtupu, sasa hahitajiki tena! Au labda akihitajika tena atarudi kwa lime light!

Negativity Negativity. You will died with your negativity. Ila mbowe hawezi kukosea. Uje basi hata huku Ujerumani Uwe mkimbizi.
 
Dr shika amehamia Tandahimba kuishi ila atarudi tena dar kwa ajili ya makontena
 
Back
Top Bottom