Mwanachama Sahihi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 572
- 217
Ndio, sijamsikia kwa muda mrefu Sasa. Kipindi tunachopitia, mazingira tuliyomo, matukio yanayotokea yeye Yuko wapi?
Yuko wapi?CCM bwana mnafanya matukio alafu mnataka watu ili mzidi kufanya matukio
Labda abduyu amempelekea nyumbaYuko wapi?
Jana tu kahojiwa na chombo kimoja cha habariNdio, sijamsikia kwa muda mrefu Sasa. Kipindi tunachopitia, mazingira tuliyomo, matukio yanayotokea yeye Yuko wapi?