Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,316
Naweza kupata wapi kazi zake mpyambn yupo
Kweli, lakini bado yuko active!Kuna kipindi basata ya Kenya ilimlima tofali sijui kama kifungo kimeisha.
Kazi zake mpya zinapatikana wapiKweli, lakini bado yuko active!
Kwa kosa lipiKuna kipindi basata ya Kenya ilimlima tofali sijui kama kifungo kimeisha.
YouTube nafkiri...Kazi zake mpya zinapatikana wapi
Kuna maneno mengine yalikuwa ya ukubwa sana kutumia so wakamtia breki kiasi, lakini walitatuaKwa kosa lipi
Dah! asee huyu jamaa ukipata movie clean iliyotulia na akatulia utaenjoyKuna maneno mengine yalikuwa ya ukubwa sana kutumia so wakamtia breki kiasi, lakini walitatua
Siangaliagi movie za DJ! 😬😬😬Dah! asee huyu jamaa ukipata movie clean iliyotulia na akatulia utaenjoy