Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,597
- 13,765
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Inasemekana mara ya mwisho alionekana akiwa amevaa suti ya kitenge cha kijani kibichi katika kata ya Mlangali mwezi wa kwanza.
Wakati huo alionekana anelekea Ludewa ingawa nako nasikia hakuonekana.
Sasa mimi nipo hapa mjini nilipoulizwa vipi mbunge wetu anaonekana huko mjini!
Kwa sababu hata kwenye radio hatumsikii akilisemea jimbo letu! nikajibu kwa kweli huyo simjui, mm namkumbuka Deo tu kwa sababu mara nyingi tulikuwa tunakutana kwenye shughuli za maendeeleo, au kumwona kwenye runinga akiwa na wananchi wake wakichimba mashimo ya nguzo za umeme, na tangu aondoke kila kitu kimesimama.
Sasa kama kuna mtu ana taarifa naye au atamwona, naomba awasiliane na ofisi ya serikali ya mtaa au kituo cha polisi kilicho karibu.
Mwambieni wananchi wanauliza mbona kimya huku.
NOTE:
Alivaa shati la kijani mara ya mwisho kuonekana.