Yuko wapi DC Albert Mnali aliyechapa viboko walimu wazembe?

Huyu alikuwa kichaa alishawahi kunipa masaa 2 niondoe kifusi barabarani au ni kisambaze huku mvua inanyesha na ilikuwa trip 450 na kama akikikuta nijipeleke lockup mwenyewe anikute
 
Ndio hao viongozi wetu kutoa maamuzi bila kuyatafakari
 
Namkumbuka huyo aliwahi kufanya ziara shuleni kwetu mwaka 2003 akiwa DC Geita,basi tulijiandaa siyo mchezo na hiyo siku aliishia kutusifia tu maana tulikuwa tunatunza mazingira mpk kero.
 
Huyu alikuwa kichaa alishawahi kunipa masaa 2 niondoe kifusi barabarani au ni kisambaze huku mvua inanyesha na ilikuwa trip 450 na kama akikikuta nijipeleke lockup mwenyewe anikute
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ikawaje mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…