Yuko wapi DC Albert Mnali aliyechapa viboko walimu wazembe?

DC ALBERT MNALY NI MWENYEKITI CCM WILAYA NACHINGWEA. NO RAFIKI YANGU SANA.BADO ANAKITUMIKIA CHAMA ANA NGUVU BADO. NI MTU WANGU WA KARIBU MNO .HUWA AKITEMBELEA NDANDA LAZIMA HUWA TUNAONANANA TUNAGONGA STORY BILA KUJALI TOFAUTI ZA ITIKADI NA KUNYWA MABIBO WINE YA MJERUMANI. UNATAKA NO YAKE YA CM??
 
Ukitaka kumjuwa rangi yake halisi jaribu kugoombea udiwani kww tiketi ya chama chako kwenye jimbo lake
 
Nilimkubali sana basi tu ...
Naona unamuibua mkuu atamkumbuka
 
Ndio maana Mwashindi alimmaliza
 
Maisha yanamchapa viboko kipindi hiki. Hana namna.
 
Kweli umenishangaza Sana kudhalilisha watu wazima wewe ndo furaha yako? afadhali wao wanapiga fimbo ya kibinadamu lakini fimbo Ya Mungu ni Kali Sana, mama yako au Baba yako angedhalilishwa najua usingeandika
 
Sinasikia Waziri mkuu wa sasa nae alishafanya hvyo, au ni stori za mtaani tu?
Ni kweli ,unakuta mwalimu kalewa kangala asubuhi ,utamfanyaje?ilifaa kumniga ,kwa kua huwezi mniga unamchapa viboko,

Mwalimu huyohuyo salio linasoma kila mwezi,serikali ni kama analipa hewa tu.
 
Ni kweli ,unakuta mwalimu kalewa kangala asubuhi ,utamfanyaje?ilifaa kumniga ,kwa kua huwezi mniga unamchapa viboko,

Mwalimu huyohuyo salio linasoma kila mwezi,serikali ni kama analipa hewa tu.
[emoji23][emoji23] hahah!!
 
Kweli umenishangaza Sana kudhalilisha watu wazima wewe ndo furaha yako? afadhali wao wanapiga fimbo ya kibinadamu lakini fimbo Ya Mungu ni Kali Sana, mama yako au Baba yako angedhalilishwa najua usingeandika
Bahati nzuri wazazi wamgu hawajawahi kuwa walimu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…