Yuko wapi dada wa kuwa nami maishani jamani?

Na mwenye mapenzi ya dhati kwako anaemjuaYesu na mwenye hofu ya Mungu ila hana kazi i mean hajafikia level ulotaja na hana kipato haruhusiwi mkuu??
 

Hata wewe?
 
we kijana...mkeo mtarajiwa unamuita dada ukiwa nae ndani si utakuwa unalala unampa mgongo!?
 
labda alishapata hii ni mwaka 2013


mna watoto wangapi mkuu ? mleta uzi
 
Uwa nawaza nikikutana na mtu jf afu akanikunja ivi nn kinaweza tokea? Nawaza tu
 
Siamini hivyo, naamini hata humu wapo wanawake wazuri wanaojielewa na pengine nao wanaendelea kusugua goti ili Mungu awajalie wenza wa maisha.
 
Mhhh!
****Awe ameajiriwa na ana kipato
****Awe anaishi kwake

Upo serious kabisa?!
 


Unajuaje labda huko Kanisani ndio ametendwa mpaka kaamua ageukie upande huu, mke popote unapata ili mradi Swaggs zikaendana tuu.
 
ahaaaaaaa loh huwezi nikunja na ikitokea bas nastaaf jiefu loh nabaki kuwa raia mwema. Loh may be naweza fumba macho nife kwa maji ya ziwa victoria kuliko kufa kwa ndoo moja ya maji kama ana zile sumu zinazonitoaga udenda.

Kusema ukweli nilijibu tu, hata sikuelewa ulimaanisha nini. Saivi ndio umeniacha kabisa.
 
"...Naona unatafuta ukimwi kwa nguvu kijana "
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…