balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 14,444
- 12,564
Nilikutana naye mara ya mwisho Mbezi kwa Musuguli akaniambia Wana umoja wao unaitwa soldiers without borders na tangia hapo sijawahi kumuona wala kuwasiliana naye.Mwenye taarifa zake tafadhari aniwekee hapa.