Yuko wapi Capt. Sambwee Mwalyego Shitambala?

nditolo

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
3,802
Reaction score
4,450
Tangu alipokula rushwa na kuhamia ccm, kaka yangu mwanasheria, mwanajeshi Shitambala sijamsikia kabisa. Nipeni taarifa wanajamvi.Hivi ni kweli kuwa ukihama CDM unapoteza umaarufu kiasi hicho? Na je vile vyeo wanvyopean au kugawana kama wanvyopewa hata vilaza kama manyanya hawezi kupata? Nipeni jibu.
 
Huyo ndio kapotea mazima kwa sasa tusubili wasaliti wengine shonza na mwampamba kazi itakuwa imeisha ukiambiwa ccm majangga majanga kweli.
 
tangu alipokula rushwa na kuhamia ccm, kaka yangu mwanasheria, mwanajeshi shitambala sijamsikia kabisa. Nipeni taarifa wanajamvi.hivi ni kweli kuwa ukihama cdm unapoteza umaarufu kiasi hicho? Na je vile vyeo wanvyopean au kugawana kama wanvyopewa hata vilaza kama manyanya hawezi kupata? Nipeni jibu.

unaulizia kichefuchefu,kamasi,matapishi,mganga njaa chitambala
 
BIG G ikiisha utamu hutemwa, na kazi ya toilet paper si unaijua mkuu? Kesha huyoo!
 
Yupo tena ni maarufu kuliko alipo kuwa kwenye maandamano alikuwa anapoteza hela zake kuendeshea maandamano saizi kiulaini na taaluma yake.
 
Mbona yupo na ana cheo kikubwa ndani ya chama kubwa. Kwa taarifa yako ni Mjumbe NEC-CCM Taifa..
 
wajumbe wa nec - ccm si ndiyo wale wanaosubiri rushwa za chimwaga ili kulipia ada za watoto wao shule ?
 
Mbona yupo na ana cheo kikubwa ndani ya chama kubwa. Kwa taarifa yako ni Mjumbe NEC-CCM Taifa..

Bwana Mushi kweli kuwa mjumbe wa NEC ~ CCM ni cheo kikubwa? Hivi zile hamasa alizokuwa anafanya awali leo anaweza zifanya tena? kama ndio mbona hazifanyi?
Afadhali yako ukisema unacheo kikubwa nitakuelewa unaongoza vijana wa magamba mkoa wa K'njaro
 
mkuu kuitumikia ccm ni sawa na kumtumikia shetani , nadhani adhabu yake mbele za mungu unaijua .
 
Tangu alipokula rushwa na kuhamia ccm, kaka yangu mwanasheria, mwanajeshi Shitambala sijamsikia kabisa. Nipeni taarifa wanajamvi.Hivi ni kweli kuwa ukihama CDM unapoteza umaarufu kiasi hicho? Na je vile vyeo wanvyopean au kugawana kama wanvyopewa hata vilaza kama manyanya hawezi kupata? Nipeni jibu.
Juzi nlimuona kinondoni manyanya akiitia abiria gari za posta.
 
Mbona yupo na ana cheo kikubwa ndani ya chama kubwa. Kwa taarifa yako ni Mjumbe NEC-CCM Taifa..

Cheo kikubwa? Bado unakumbuka mambo ya chama kushika hatamu?
NEC ya CCM Ina watu wasiyojua kusoma mpaka Leo hii!
 
Tangu alipokula rushwa na kuhamia ccm, kaka yangu mwanasheria, mwanajeshi Shitambala sijamsikia kabisa. Nipeni taarifa wanajamvi.Hivi ni kweli kuwa ukihama CDM unapoteza umaarufu kiasi hicho? Na je vile vyeo wanvyopean au kugawana kama wanvyopewa hata vilaza kama manyanya hawezi kupata? Nipeni jibu.

kifo cha mende mbendembende..........za mnafiki ni duniani
 
Tangu alipokula rushwa na kuhamia ccm, kaka yangu mwanasheria, mwanajeshi Shitambala sijamsikia kabisa. Nipeni taarifa wanajamvi.Hivi ni kweli kuwa ukihama CDM unapoteza umaarufu kiasi hicho? Na je vile vyeo wanvyopean au kugawana kama wanvyopewa hata vilaza kama manyanya hawezi kupata? Nipeni jibu.

Yuko Mbeya , mara Iringa na Dar lakini muda mwingi anapika na mkewe .Kesha poteza uwezo wake wa akili ana akili ambazo hazina akili tena .
 
Jamaa alikuwa anakuja vizuri sana, alitikisa na akaaminika karibu aukwae umakamu mwenyekiti wa chama taifa, mbeya ukitaja shitambala watu walikuwa wanaangalia atatokea upande upi wamwone, ah! Tamaa zinadharirisha, kwasasa jina na heshima vimeyayuka, amebaki kuwa mfano mzuri wa kebehi ya usaliti!
 
jamani mrema yupo? nakumbuka alivyokuwa akisukumwa na magari yake kutandikiwa khanga,leo akipita sokoni hakuna hata mtu anageuka kumuangalia,kisa usaliti
 
Mtu -------- kama Shitambala hana sifa ya kuitwa mwanasheria

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom