Yupo tena ni maarufu kuliko alipo kuwa kwenye maandamano alikuwa anapoteza hela zake kuendeshea maandamano saizi kiulaini na taaluma yake.
nipo aoa mbeya sjawai mwona hyu mtu wala kumsikia, ingawa na mwanasheria ila nahsi yupo ka,a sero huko kwenye chama cha mihadarati
You're great bro.Nami nlitaka kumjibu ivyo hivyo.Ujumbe wa CCM NEC ni sawa na ubalozi wa nyumba kumi.Cheo kikubwa? Bado unakumbuka mambo ya chama kushika hatamu?
NEC ya CCM Ina watu wasiyojua kusoma mpaka Leo hii!
Anatumia taratiibu hela alizouzia jimbo kwa MWAJALI.Yupo tena ni maarufu kuliko alipo kuwa kwenye maandamano alikuwa anapoteza hela zake kuendeshea maandamano saizi kiulaini na taaluma yake.
Vikoje hivyo?Kwani chadema alikuwa na cheo gani? Usaliti wa Slaa kwenda Chadema ni mzuri? Waambie hao wanywa vitoba. Kaka Fred Mushi