hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 54,381 Reaction score 80,394 Aug 17, 2018 #81 Mshana Jr said: 😀 😳 😳 😳 umeshavunja masharti Click to expand... mbona sijaacha", kuweka ",quotation mark" mkuu au ilipaswa kuwa siri yangu" hahaa
Mshana Jr said: 😀 😳 😳 😳 umeshavunja masharti Click to expand... mbona sijaacha", kuweka ",quotation mark" mkuu au ilipaswa kuwa siri yangu" hahaa
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 19,041 Reaction score 22,590 Dec 25, 2018 #82 Mshana Jr said: 😀 😳 😳 😳 umeshavunja masharti Click to expand... Kitu kimetua, lkn mheshimiwa bado haonekani
Mshana Jr said: 😀 😳 😳 😳 umeshavunja masharti Click to expand... Kitu kimetua, lkn mheshimiwa bado haonekani
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,776 Reaction score 42,935 Dec 27, 2018 #83 kipumbwi said: Swali zuri sana haswa ikizingatiwa kuna RC kaomba ruksa ya kushughulikia wanaoonyesha madhaifu ya midege,isije ikawa alianza zamani kazi yake!! Click to expand... Rc anakwambia anapenda Nazi ya utumishi was Mungu kuliko uRC
kipumbwi said: Swali zuri sana haswa ikizingatiwa kuna RC kaomba ruksa ya kushughulikia wanaoonyesha madhaifu ya midege,isije ikawa alianza zamani kazi yake!! Click to expand... Rc anakwambia anapenda Nazi ya utumishi was Mungu kuliko uRC
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,085 Dec 27, 2018 Thread starter #84 Donnie Charlie said: Kitu kimetua, lkn mheshimiwa bado haonekani Click to expand... Yuko ughaibuni mbali kabisa na makucha marefu, BAK karejea
Donnie Charlie said: Kitu kimetua, lkn mheshimiwa bado haonekani Click to expand... Yuko ughaibuni mbali kabisa na makucha marefu, BAK karejea
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,085 Dec 27, 2018 Thread starter #85 Remote said: Rc anakwambia anapenda Nazi ya utumishi was Mungu kuliko uRC Click to expand... Kuna mungu na Mungu sijui kamaanisha yupi mmojawapo
Remote said: Rc anakwambia anapenda Nazi ya utumishi was Mungu kuliko uRC Click to expand... Kuna mungu na Mungu sijui kamaanisha yupi mmojawapo
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,776 Reaction score 42,935 Dec 27, 2018 #86 Mshana Jr said: Kuna mungu na Mungu sijui kamaanisha yupi mmojawapo Click to expand... Bashite utamuweza
Mshana Jr said: Kuna mungu na Mungu sijui kamaanisha yupi mmojawapo Click to expand... Bashite utamuweza
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Dec 28, 2018 #87 Remote said: Bashite utamuweza Click to expand... Bashite ni actor mzuri sana, akishika Bible utasema ni mlokole aliyeshushwa kutoka Yerusalem inayokuja. Akianza sayansi za upande wa pili, anajua waganga mpaka Msumbiji na Benin.
Remote said: Bashite utamuweza Click to expand... Bashite ni actor mzuri sana, akishika Bible utasema ni mlokole aliyeshushwa kutoka Yerusalem inayokuja. Akianza sayansi za upande wa pili, anajua waganga mpaka Msumbiji na Benin.
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,594 Reaction score 43,031 Dec 28, 2018 #88 Mbaya zaidi seva za jf ziliposhambuliwa kuna baadhi ya nyuzi za enzi hizo zilifutika kabisa na jf wakashindwa kuzi backup hivyo nyingi zilipotea
Mbaya zaidi seva za jf ziliposhambuliwa kuna baadhi ya nyuzi za enzi hizo zilifutika kabisa na jf wakashindwa kuzi backup hivyo nyingi zilipotea
The Mongolian Savage JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 9,265 Reaction score 20,526 Dec 28, 2018 #89 hearly said: mbona sijaacha", kuweka ",quotation mark" mkuu au ilipaswa kuwa siri yangu" hahaa Click to expand... Mkuu GT unajua mnavyobadilisha avatar picha zenu mnatychanganya aisee. Nimeshtuka nikasema dah
hearly said: mbona sijaacha", kuweka ",quotation mark" mkuu au ilipaswa kuwa siri yangu" hahaa Click to expand... Mkuu GT unajua mnavyobadilisha avatar picha zenu mnatychanganya aisee. Nimeshtuka nikasema dah