Yuko wapi Barafu?

Kuna mdau aliitwa technically walikuwa na yeye mkosoaji wa juhudi hadi anabishana na nchemba huku karibu mwaka haonekani.
Ila kama barafu yupo lzm aje maana inaonekan a sio muogamuoga kwa kukosoa . Ila alete facts sio porojo.
 
Daah Mwanangu ngoja leo nikuulize swali,hivi mbona sentensi zako zote zinakuaga na quotation mark kila sehemu mkuu?
 
Daah Mwanangu ngoja leo nikuulize swali,hivi mbona sentensi zako zote zinakuaga na quotation mark kila sehemu mkuu?
kuwa different " wakati hauvunji sheria"sio laana chief"... naomba niulize jengine"
 
Mzee wa tunguri umerejea kutoka katika harakati zako ukazama JF utalala sasa ngapi sasa,

barafu watu mtaani tunaheshimika kwa elimu yako

Yaani huwa tunachukua haya madini tunakwenda kuyashusha kama yalivyo halafu tunajisifu tunasoma sana vitu
Kumbe sipo mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…