Yuko wapi Barafu?

Yupo USA anasoma Masters ya aeronautical engineering
Ni jambo la kupendeza kama atakua yupo huko, ila si vibaya huko alipo akipata muda aingie humu jukwaani ili kwanza tujuliane nae hali na pili atupe madini kuhusiana na tasnia ya safari za anga japo kwa uchache kutokana na nafasi yake kua finyu
 
Labda amekufa. Huwezi kujua.
 
Mzee wa tunguri umerejea kutoka katika harakati zako ukazama JF utalala sasa ngapi sasa,

barafu watu mtaani tunaheshimika kwa elimu yako

Yaani huwa tunachukua haya madini tunakwenda kuyashusha kama yalivyo halafu tunajisifu tunasoma sana vitu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tafadhari Barafu rudi jukwaani , ukichelewa tutamwagiza Mshana Jr akuague kama umechukuliwa mateka
 
Barafu ni miongoni mwa great thinker ambao walikuwa wananivutia tasana bila kumsahau Yerico nyerere,oascal mayala,mzizi mkavu,mzee mwenyewe Mshana jr.Wapi mzee charuma jaman akina The bord,duuu jamii foramu ya 2015......kurudi nyuma kuna ule uzi wa yerico juu ya ikulu ya Dar ,,,,,jaman mzee the bord na uzi wa vipepeo weusi jaman kipindiicho nipo o level na tcno yangu 611,nipo kama visters for 6 yrs duuuuu
 
Mkuu Mshana, tuwekee rejea ya thread hiyo.

P.
 
Mkuu tafadhali jaribu kuhariri comment yako
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…