thegreat1510
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,420
- 3,697
Nyumbu hawaezi kujibu hilo swali Mwanajeshi wa NATO😂😂😂😂😂
View attachment 3522945
Mnafikiri anao deal nao ni wepesi kama upepo ?Mara ya mwisho alitoa masaa 24 na tishio kali sana kwa samia na genge lake.
Kwa alivokuwa anazungumza inaonekana lilikuwa ni jambo lilio ndani ya uwezo wake kuwadhuru magaidi hawa.
Kinachonishangaza ni ukimya wake tangu siku hio, hata attempt yoyote haijaonekana hata kwa hawa askari wadogo ambao alidai hawana ulinzi.
Nini kilimkuta na kwanini hatoi update yoyote ya Kaka yake?.
Katika mtu nilishamdharau kabla hajaanza ni yeye maana ile mikwara ilionyesha kabisa sio mtu wa matendo, yeye aishie kulamba lamba midomo tu ndo anachoweza na kutoa meno nje hana loloteMara ya mwisho alitoa masaa 24 na tishio kali sana kwa samia na genge lake.
Kwa alivokuwa anazungumza inaonekana lilikuwa ni jambo lilio ndani ya uwezo wake kuwadhuru magaidi hawa.
Kinachonishangaza ni ukimya wake tangu siku hio, hata attempt yoyote haijaonekana hata kwa hawa askari wadogo ambao alidai hawana ulinzi.
Nini kilimkuta na kwanini hatoi update yoyote ya Kaka yake?.
Tupeane moyoMnafikiri anao deal nao ni wepesi kama upepo ?
Watu mnashindwaga hata kupima uzito wa jambo na risk zake ?
Au akili zimeoza kiasi kwamba hamuwezi ona uzito wa jambo na watu anao deal nao ? Na sio Kila mpango wako au anachofanya akiongee yupo kwenye utelekezaji yaweza ikawa hata baada ya miaka kadhaaa..
Yes ndio jambo la msingi. Ile sio jambo jepesi hata kidogoTupeane moyo
Mara ya mwisho alitoa masaa 24 na tishio kali sana kwa samia na genge lake.