Yuko wapi atakayenifaa?

A/c zako zinasoma tarakimu ngapi za tsh?embu acha tamaa,wekeza nguvu na akili zako ktk kutafuta pesa na mengine yatakuja automatically.
Nimeupenda sana ushauri wako..hakika ntaufanyia kazi##@
 
Ahsante sana sana kwa ushauri mzuri [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Khaaaa, kumbe bado unanuka maziwa mdomoni! waza na plan namna ya kupata pesa kwanza madem watajileta tu wenyewe kama kuku kwa nyeti za kicheche wewe unabana tu (anus) unajilia mzigo.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…