Mr come down
Member
- Dec 5, 2016
- 60
- 30
Nina miaka 23 ndugu#@Ungeweka umri wako ungekuwa vzr sana, maana unaweza toa ushauri unaokuzidi ukubwa au hauendani na wewe.
Ww umeingia?!Ingia katka mahusiano ,Mshirikishe kwanza m/mungu katika hili kwan hakunaga kitu kigumu kama kuanzisha mahusiano mapya na ukaubahatisha ubavu wako uliopagangiwa.
Yap..ni kweli wanasemaga kosea vyote ila uskosee kutafuta mwenza,,##Ingia katka mahusiano ,Mshirikishe kwanza m/mungu katika hili kwan hakunaga kitu kigumu kama kuanzisha mahusiano mapya na ukaubahatisha ubavu wako uliopagangiwa.
Nina miaka 23 ndugu#@
Unataka kuoa na umri huu utakufa kabla ya siku zako huu umri ni wa kula raha tu kuoa baadae mi nimekupita na 2 lakini bado sijawaza kuoa kabisa ila kama uko tayari oa tu kakaNina miaka 23 ndugu#@
Nilijua ungenifaa, ila bado mdogo sana naona. Endelea kuomba Mungu atakupa aliye sahihi kwakoNina miaka 23 ndugu#@
Age is just a number jamani usimfanyie hivoNilijua ungenifaa, ila bado mdogo sana naona. Endelea kuomba Mungu atakupa aliye sahihi kwako
Khaaaa, kumbe bado unanuka maziwa mdomoni! waza na plan namna ya kupata pesa kwanza madem watajileta tu wenyewe kama kuku kwa nyeti za kicheche wewe unabana tu (anus) unajilia mzigo.Nina miaka 23 ndugu#@
Sio aingie kwenye mahusiano ya uzinifu halafu unamwambia amshirikishe MUNGU aingie kwenye ndoa ndo amshirikishe MUNGU overIngia katka mahusiano ,Mshirikishe kwanza m/mungu katika hili kwan hakunaga kitu kigumu kama kuanzisha mahusiano mapya na ukaubahatisha ubavu wako uliopagangiwa.
njoo mi nakufaaNilijua ungenifaa, ila bado mdogo sana naona. Endelea kuomba Mungu atakupa aliye sahihi kwako