Wana Jf Kama kuna mwenye taarifa zozote za karibuni kumhusu Mwenyekiti wa TLP ambye pia na Mbunge wa Vunjo atujuze Mh.Agustine Lyatonga Mrema.
Vp hali yake ya kiafya? Ushiriki wake katika kutimiza wajibu wake kibunge?yupo kwa babu loliondo anapata vikombe, teh......teh.....te.....teh.....teh....teh....teh....
Vp hali yake ya kiafya? Ushiriki wake katika kutimiza wajibu wake kibunge?
Yupo anaumwa dege dege, vipi unayo tiba umsaidie mzee wetu?
Halafu ukishapata majibu ya hayo maswali?
Unamaanisha kiinua mgongo cha Unaibu Waziri Mkuu.Alishalipwa chake
Wana Jf Kama kuna mwenye taarifa zozote za karibuni kumhusu Mwenyekiti wa TLP ambye pia na Mbunge wa Vunjo atujuze Mh.Agustine Lyatonga Mrema.