Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,295
- 108,318
Niko nafanya utafiti mkuu
Haya mkuu kila la kheri...
Niko nafanya utafiti mkuu
Ama kweli hujafa hujaumbika.Huyu Jogoo yupo, bada yupo ngangari kweynye ulingo wa SIASA za kitanzania. Anajiandaa kutetea jimbo lake la VUNJO...
View attachment 141084
Amekuwa msanii siku hizi,juzi juzi alikuwa Vunjo anasimamia mashindano ya mpira lolWana Jf Kama kuna mwenye taarifa zozote za karibuni kumhusu Mwenyekiti wa TLP ambye pia na Mbunge wa Vunjo atujuze Mh.Agustine Lyatonga Mrema.
Ama kweli hujafa hujaumbika.
hv huwa anaumwa nini mrema? Kuna mtu anapicha yake enzi zile za 1995? Plz attach nimuone coz that tym nilikua katoto sana