4 4 7mbatizaji JF-Expert Member Joined Dec 8, 2019 Posts 11,319 Reaction score 13,001 Jun 1, 2021 #21 Mmawia said: Haya mashindano naamini utafanikiwa na kujinyakulia kombe. View attachment 1804203 Click to expand... Ila CCM inachowafanyia Wana chama wake Mungu anawaonya,yani mpaka mwanaume mzima na wajukuu anakunishwa nazi! Shida Sana
Mmawia said: Haya mashindano naamini utafanikiwa na kujinyakulia kombe. View attachment 1804203 Click to expand... Ila CCM inachowafanyia Wana chama wake Mungu anawaonya,yani mpaka mwanaume mzima na wajukuu anakunishwa nazi! Shida Sana
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Jun 1, 2021 #22 kipara kipya said: Sio bure wewe aliyekuroga kafa wazazi pesa ya ada afadhali wangenunulia ng'ombe wangepata maziwa kuliko hasara hii! Click to expand... Nakuonea huruma sana kwa kutegemea misiba kama njia yako ya kujikimu
kipara kipya said: Sio bure wewe aliyekuroga kafa wazazi pesa ya ada afadhali wangenunulia ng'ombe wangepata maziwa kuliko hasara hii! Click to expand... Nakuonea huruma sana kwa kutegemea misiba kama njia yako ya kujikimu
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Jun 1, 2021 #23 4 7mbatizaji said: Ila ccm inachowafanyia Wana chama wake Mungu anawaonya,yani mpaka mwanaume mzima na wajukuu anakunishwa nazi ,!! Shida Sana Click to expand... Tatizo wana ccm wenyewe kama huyo wa kwanza ni ndugu yetu kipara kipya
4 7mbatizaji said: Ila ccm inachowafanyia Wana chama wake Mungu anawaonya,yani mpaka mwanaume mzima na wajukuu anakunishwa nazi ,!! Shida Sana Click to expand... Tatizo wana ccm wenyewe kama huyo wa kwanza ni ndugu yetu kipara kipya
Mbwa dume JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 6,289 Reaction score 10,965 Jun 1, 2021 #24 Kazi kubwa ilishamalizika sasa unamtaka wa nini au unahitaji mume?
Ukana Shilungo JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 3,041 Reaction score 2,423 Jun 1, 2021 #25 PAUL MAKONDA YUPO WAPI?🤣🤣🤣
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 24,896 Reaction score 27,021 Jun 1, 2021 #26 Anafanya marekebisho madogo kule ICC kwani mashitaka yamembadilika kidogo,yupo aliyeondolewa na wapo waliooongezwa, ikiwa ni pamoja na wewe.
Anafanya marekebisho madogo kule ICC kwani mashitaka yamembadilika kidogo,yupo aliyeondolewa na wapo waliooongezwa, ikiwa ni pamoja na wewe.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,848 Jun 1, 2021 #27 BILGERT said: Sukuma Gang mmebaki wakiwa mnoo, Click to expand... Hawaamini kama dikteta pamoja na ulinzi wote kama kwa corona
BILGERT said: Sukuma Gang mmebaki wakiwa mnoo, Click to expand... Hawaamini kama dikteta pamoja na ulinzi wote kama kwa corona
S Shocker JF-Expert Member Joined Sep 15, 2012 Posts 2,175 Reaction score 4,180 Jun 1, 2021 #28 Itakuwa labda kazi aliyotumwa ameshaimaliza.
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,749 Reaction score 28,144 Jun 1, 2021 #29 Ndio yule alievaa sketi? Bavicha mna mambo
I Iboya2021 JF-Expert Member Joined Dec 1, 2020 Posts 1,609 Reaction score 1,483 Jun 1, 2021 #30 Sky Eclat said: Diamond atapigiwa kura na Polepole Click to expand... huo ni wivu yaani umaskini wako unataka ulingane nye? mtachelewasana na mbowe wenu mwenyekiti wa milele eti anaongoza chama cha kidemocrasia
Sky Eclat said: Diamond atapigiwa kura na Polepole Click to expand... huo ni wivu yaani umaskini wako unataka ulingane nye? mtachelewasana na mbowe wenu mwenyekiti wa milele eti anaongoza chama cha kidemocrasia
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,356 Jun 1, 2021 #31 Iboya2021 said: huo ni wivu yaani umaskini wako unataka ulingane nye? mtachelewasana na mbowe wenu mwenyekiti wa milele eti anaongoza chama cha kidemocrasia Click to expand... Wala si wivu, bali ni support kwa mpenda haki Burnaboy
Iboya2021 said: huo ni wivu yaani umaskini wako unataka ulingane nye? mtachelewasana na mbowe wenu mwenyekiti wa milele eti anaongoza chama cha kidemocrasia Click to expand... Wala si wivu, bali ni support kwa mpenda haki Burnaboy
I Iboya2021 JF-Expert Member Joined Dec 1, 2020 Posts 1,609 Reaction score 1,483 Jun 1, 2021 #32 Sky Eclat said: Wala si wivu, bali ni support kwa mpenda haki Burnaboy Click to expand... na uzalendo je nao hamna?
Sky Eclat said: Wala si wivu, bali ni support kwa mpenda haki Burnaboy Click to expand... na uzalendo je nao hamna?
U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 4,207 Reaction score 9,198 Jun 1, 2021 #33 Uzuri ni kuwa CCM bado ipo madarakani na itaendelea kuwa madarakani!
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,356 Jun 1, 2021 #34 Iboya2021 said: na uzalendo je nao hamna? Click to expand... Uzalendo wenu CCM unamtosha
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 20,142 Reaction score 24,432 Jun 1, 2021 Thread starter #35 Ukana Shilungo said: PAUL MAKONDA YUPO WAPI??? Click to expand... Muueleze ulichomuitia kaacha kula!
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 20,142 Reaction score 24,432 Jun 1, 2021 Thread starter #36 MIGNON said: Ndivyo walivyo mawakili,amechukua mpunga wake na kumetulia... Click to expand... Akili ni nywele lipo funzo kwa wadandia magari kwa mbele!
MIGNON said: Ndivyo walivyo mawakili,amechukua mpunga wake na kumetulia... Click to expand... Akili ni nywele lipo funzo kwa wadandia magari kwa mbele!
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 20,142 Reaction score 24,432 Jun 1, 2021 Thread starter #37 Sky Eclat said: Haha tunasimama na mpenda haki Burnaboy Click to expand... Dunia inawaona mlivyo wanafiq hata lissu mlinyima kura pia!
Sky Eclat said: Haha tunasimama na mpenda haki Burnaboy Click to expand... Dunia inawaona mlivyo wanafiq hata lissu mlinyima kura pia!
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 20,142 Reaction score 24,432 Jun 1, 2021 Thread starter #38 Mmawia said: Nakuonea huruma sana kwa kutegemea misiba kama njia yako ya kujikimu Click to expand... Napenyezewa hapa na watu wako wa karibu hali yako ya uchumi ni mbaya sana unashindia karanga za kuonja!
Mmawia said: Nakuonea huruma sana kwa kutegemea misiba kama njia yako ya kujikimu Click to expand... Napenyezewa hapa na watu wako wa karibu hali yako ya uchumi ni mbaya sana unashindia karanga za kuonja!
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 20,142 Reaction score 24,432 Jun 1, 2021 Thread starter #39 Vessel said: Anafanya marekebisho madogo kule ICC kwani mashitaka yamembadilika kidogo,yupo aliyeondolewa na wapo waliooongezwa,ikiwa ni pamoja na wewe. Click to expand... Mwambie afanye haraka asisahau kupitia MIGA!
Vessel said: Anafanya marekebisho madogo kule ICC kwani mashitaka yamembadilika kidogo,yupo aliyeondolewa na wapo waliooongezwa,ikiwa ni pamoja na wewe. Click to expand... Mwambie afanye haraka asisahau kupitia MIGA!
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 20,142 Reaction score 24,432 Jun 1, 2021 Thread starter #40 Iboya2021 said: yupo uberigiji na mkewake tobo Click to expand... Ongeza sauti mkuu!