Tido alitangulia kwenda kumtayalishia makazi mgosi Yusuf Makamba!! Makamba alimchomea ubani Tido kwa sababu ya ile midahalo ambayo ccm walikacha wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana lakini TBC waliendelea nayo hivyo mgosi Makamba akaona jamaa anawafagilia chadema ikabidi amchome lakini hapo hapo na yeye kaungua!! Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga.
uwezo wetu bado mdogo sana wa kuwasiliana, its very dissapointing. Tido alirudi Uingereza ambako ndiko ilipo familia yake. Kipindi chote ambacho anafanyakazi hapa familia yake ilikua bado iko Uingereza
Baada ya kuondolewa vibaya pale TBC sijui nguli huyu wa fani ya utangazaji kaenda wapi? Maana hatumsikii kabisa na mjini haonekani. Au neye kisha hamia Radio Abood?
Tido siyo kafara la CCM, Wala huyu bwana siyo mjasiria mali wa Kibongo.Ni mwana taaluma anayeheshimika hata nje ya mipaka ya Tanzania.Siyo mtu wa kijiweni wala wa Mt.wa Livingstone yupo anajua anachokifanya kwa wakati yuko makini PERIOD
Baada ya kuondolewa vibaya pale TBC sijui nguli huyu wa fani ya utangazaji kaenda wapi? Maana hatumsikii kabisa na mjini haonekani. Au neye kisha hamia Radio Abood?