Yu wapi Sioi Sumari?

Atakuwa ameolewa tu. Yeye si alisema SIOI na akatoboa na sikio..!? unatarajia nini!? ila hili swali ungemuuliza Lusinde ungekoga mitusi hadi unuke
 
Atakuwa ameolewa tu. Yeye si alisema SIOI na akatoboa na sikio..!? unatarajia nini!? ila hili swali ungemuuliza Lusinde ungekoga mitusi hadi unuke

Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha mkuu unanivunja mbavu.
 
Yule aliyetoboa sikio?

Ngoja tumwombe J Nassari aje kukujibu



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kwa niaba ya J. nassary,
Sioi Summary japo alioa kwa sasa yupo BoT pamoja mkewe Pamela
Lowassa wanakula. Bata kwa mrija.
 
Unamtakia nini? Anaendelea na maisha yake kama kawaida. Ukimhitaji mtafute nyumbani kwake!
 
Siasa ilikuwa part ya maisha yake .... kwenye CV yake hope alisema anafanya nini hivyo nenda kumwone huko....
 
Uzi huu unathibitisha tu mawazo ya vijana wengi ambao wanafikiri siasa ni ajira. Matokeo yake tunapata professional politicians ambao hakuna wanalolijua au kuweza nje ya siasa.

Mtu mwenye shule yake akishindwa kwenye uchaguzi hurudi kuendelea na kazi zake zingine.

Huyu dogo anafaidi matunda ya kusoma kwake, nyie mnahangaika kumwulizia hapa JF.

Ukiwa na options nyingi kwenye maisha wala huhangaiki. Uchaguzi umeisha na wacha aliyeshinda afanye kazi zake na wengine warudi kwenye shughuli zao zingine. Lakini wale walioweka mayai yote kwenye kikapu kimoja, ndio muda wote inabidi wang'ang'anie na jambo moja.

Mwacheni Sioi achakarike na kazi yake ya benki. Kama bado anataka siasa mwaka 2015 mtamwona.
 

Hujakosea kabisa ndio maana wengi wakishindwa maisha ndio wanakimbilia siasa au wakikosa la kufanya wanashinda kwenye ofisi za vyama kupeleka majungu tu......fanyeni kazi siasa ziwe sehemu tu ya maisha
 
Shake after use/ single use only!Kweli wanasema akili kumkichwa.
 
Siasa za Arusha hazimtamanishi kurudia yaliyompata mwaka jana.
 
Bandugu, huyu mshikaji yupo wapi? au ndio byebye, kama jack masamaki anavyokwisha sasa ( magamba noma)
yupo kwa wenye tabaka kama lake akila bata. na kukusanya fungu la harambee.
 
huwezi jua anaweza kuwa anafanya kazi kwenye balozi kubwa kubwa nje akituwakilisha - kupoza maumivu ya arumeru.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…