Ndugu wana jf, kumekuwa na tabia kwa baadhi ya wanasiasa wa vyama mbalimbali hapa nchini kuwa na tabia ya kuonekana uchaguzi unapokaribia...ndio utawaona majukwaani wakitokwa na povu kwa kuomba wananchi kura, pia katika kipindi hicho utawaona wakiwa mstari wa mbele katika shughuli mbali mbali za chama...huku wakijifanya wana huruma na uchungu wa nchi.sasa leo wana jamvi huyu sioi sumari baada ya uchaguzi wa arumeru mashariki kumalizikika hajasikika tena, wala kuonekana katika shughuli mbali mbali za chama chake (ccm) je yuko wapi? Mbona hashirikiani na wana ccm wenzake? Na anafanya nini kwa sada? Mwenye habari zake tafadhali atujuze.Mods tafadhali usiutoe huu uzi ni X3 sasa naweka huu uzi unautoa why? PIA WANA JAMVI HASIRA AU JAZBA HAZIRUHUSIWI, MATUSI NA MSITOKWE NA POVU PIA...MTULIE DAWA IWAINGIE VIZURI.