Yu wapi Ndimara Tegambwage? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yu wapi Ndimara Tegambwage?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zaratustra, Apr 6, 2011.

 1. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Wakuu, mimi ni msomsji wa makala mbali mbali ambazo mwandishi mahiri, Ndimara Tegambwage huzitoa magazetini, hususan kwenye gazeti PENDWA la Mwanahalisi. Kinachonishangaza ni kuwa, kwa karibu wiki nne (kama sikosei), sijaona makala zake kwenye gazeti letu PENDWA la Mwanahalisi. Je, kuna yeyote anayejua habari za huyu mheshimiwa?
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  Mashushushu watakuwa wamepora tena flash zake
   
Loading...