Yu wapi Mshana Jr?

Mambo si mabaya kivile ila hata huko imebana
 
Ha ha unajua mshana Jr nilihisi utakua umeanguka na ungo katika harakati zetu za kwenda makabur ya msata[emoji5] [emoji126] [emoji126]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mngejua in advance kwakuwa ingekuwa breaking news
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mngejua in advance kwakuwa ingekuwa breaking news
[emoji1] kwa kweli ila punguza kupotea hivi wajua wengine tunasomaga kimya kimya mabandiko yako..thou yanatisha mda mwingine.
 
[emoji1] kwa kweli ila punguza kupotea hivi wajua wengine tunasomaga kimya kimya mabandiko yako..thou yanatisha mda mwingine.
[emoji23] [emoji23] poapoa ila kuna kipindi niliaga ila this time it was an emergency
 
Mara ya mwisho, nilikutana nae kariakoo shimoni akiuza NDIMU, ila alinizuga kuwa hohhhooo mkewe mjamzito, anamnunulia ndimu nikakaaa sehemu kujificha baada ya nusu saa niliskia akiitia ndimu, ndimu mpelekee mkeo ndimu atulizze kichefu chefu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…