mdudu unga
Senior Member
- Mar 30, 2017
- 110
- 160
[emoji15] [emoji15] [emoji15] daaaah!!Mshana aliaga kaenda hadharamauti chini ya bahari ya hindi kuna semina ya wiki inaendelea huko
Nipo kiongozi tulikuwa na kikao cha kumaliza nusu mwaka kule kilingeni niko huru sasaWakuu, huyu "mtaalamu" wetu kapotea ghafla, hata hakuaga, kwa mwenye ukaribu Naye atujulishe tafadhari maana sio kawaida yake kua kimya hivi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja tuanzishe kampeni bringbackmshanaJr
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yup mkuu wako chini ya bahari kwenye semina elekezi mshana ni mweka hazina wao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yoko yakokuna ajali ya ungo na fisi huko Gambosh...majeruhi hawajatambuliwa
Wafuasi amani iliwatoka moyoniNipo kiongozi tulikuwa na kikao cha kumaliza nusu mwaka kule kilingeni niko huru sasa
Lingetokea bovu hata ndotoni wangejuaWafuasi amani iliwatoka moyoni
Nipo kiongozi tulikuwa na kikao cha kumaliza nusu mwaka kule kilingeni niko huru sasa
[emoji23] [emoji23]Ahaa vile vilinge vyenu vyenye majina kama mkorani
[emoji15] [emoji12] [emoji36] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mara ya mwisho, nilikutana nae kariakoo shimoni akiuza NDIMU, ila alinizuga kuwa hohhhooo mkewe mjamzito, anamnunulia ndimu nikakaaa sehemu kujificha baada ya nusu saa niliskia akiitia ndimu, ndimu mpelekee mkeo ndimu atulizze kichefu chefu.
Avae ulienda Maore au kisiwani?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yoko yako
Afadhali, maana niliona kimya nikapata hofu Sana, halafu nilitaka kuchangaranga waraka wa pili wa mshana jr nikasema ngoja nione kwanza umekaa Angle gani ndo nikagundua haupo hewani, vipi lakini majumuisho ya kikao yemeenda vizuri? Mmefikia malengo ya first semister?Nipo kiongozi tulikuwa na kikao cha kumaliza nusu mwaka kule kilingeni niko huru sasa
ThithemiAvae ulienda Maore au kisiwani?