Daaah
Huyu jamaa ni msanii asiye jijali kuliko wote duniani.
Aligombana na man waltet baadaye akawa ana shinfa na afande sele wanapiga bange tuu nakunywa, sijajua kama aliishia wap tena
Ule mwaka wa tamaa mbaya na ule wimbo mwingine kwa kweli ali hit
Ila mpaka kesho naupenda wimbo wa mama neema bonge ya wimbo ile

Alipopata zile tunzo,Clouds wakataka kumfanyia Kama tafrija kumpongeza,akawatukana."siwezi kufanya kazi na radio ya kise...nge",akamwagana naWalter kabla ya kupatana,wakati huo fitina zikaanza hakuna kupiga nyimbo yake,FM radio nyingi zikampotezea...ukichanganya na uvutaji bangi na mtindo wa maisha wa hovyo kijana akapotea.