Black hermit
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 657
- 955
Tangu huyu bwana atangaze kujiengua chama cha kijani na kujivua ubunge sijamsikia tena na wala sijaona mchakato wowote wa kupata mrithi wake jimbonu kwakwe, mwenye taarifa rasmi na jinsi mchakato unavyoendelea anijuze tafadhali.
Kwani wewe ukowapi?Tangu huyu bwana atangaze kujiengua chama cha kijani na kujivua ubunge sijamsikia tena na wala sijaona mchakato wowote wa kupata mrithi wake jimbonu kwakwe, mwenye taarifa rasmi na jinsi mchakato unavyoendelea anijuze tafadhali.
Amerudi kwao Marekani na mrithi wake alishapatikana kitambo!Tangu huyu bwana atangaze kujiengua chama cha kijani na kujivua ubunge sijamsikia tena na wala sijaona mchakato wowote wa kupata mrithi wake jimbonu kwakwe, mwenye taarifa rasmi na jinsi mchakato unavyoendelea anijuze tafadhali.
Jiulize wako wapi waliosema wanataka kumfungulia kesi Nyalandu?Tangu huyu bwana atangaze kujiengua chama cha kijani na kujivua ubunge sijamsikia tena na wala sijaona mchakato wowote wa kupata mrithi wake jimbonu kwakwe, mwenye taarifa rasmi na jinsi mchakato unavyoendelea anijuze tafadhali.
Anajiandaa kugombea urais maana inasemekana ngoyai kachokaTangu huyu bwana atangaze kujiengua chama cha kijani na kujivua ubunge sijamsikia tena na wala sijaona mchakato wowote wa kupata mrithi wake jimbonu kwakwe, mwenye taarifa rasmi na jinsi mchakato unavyoendelea anijuze tafadhali.