Yu wapi Komredi Wilson Mukama?

Mchumi90

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,089
1,297
Huyu komredi sujui kaishia wapi? Lumumba nadhani mna majibu ya hili.
 
huyu bwana habari nyepesi nyepesi yeye majungu hayawezi hivyo ametuachia laana yetu hapa lumumba
 
Huyu Jamaa alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya.
Baada ya Wanamtandao wakiongozwa na Jk Mwenyewe, Mzee Makamba, Samwel Sitta na Edward Lowassa kuvurugana na kukipasua pasua Chama, Jk akamwita Kinana awe Katibu Mkuu Kinana akakataa kwa kuwa alibaguliwa sana baada ya Wanamtandao kutwaa madaraka akawa anatakiwa aripoti kwa Miraji Kikwete Mtaa Mindu Upanga kwny Uchaguzi 2010 Ili apangiwe cha kufanya!!Ndo akatafutwa huyu Wilson Mukama. Baada ya Mukama kupwaya ikabidi Mkuu aende kwa Mzee Msekwa na Mwinyi wamwite Kinana wasaidie kumlainisha , hapo Mzee Mukama akateuliwa kuongoza chuo cha Siasa cha Chama ( Chuo ambacho hakipo).
 
Duuuuuuu ccm kumejaa wanaharamu tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom