Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
- Thread starter
-
- #41
Shukrani mkuu, tuko pamoja.Salute kwako Mussollin5
Umetisha kwa maono Jamiiforums kuna watu munavipaji aisee
Post ya Mar 23/2017
May 28/2017 Andiko Linatimia umetisha mkuu
Mikiripuko Jazz Band, kusoma hujui hata kuuliza huweziAKIONEKANA HADHARANI ILI IWEJE WAKATI AMEKWISHA TUMBULIWA? MUACHENI APANGIWE MAJUKUMU MENGINE
YUKO KWAO ANALIMA ALIZETINi muda mrefu umepita IGP Ernest Mangu hajaonekana hadharani wala kwenye media hasa ukizingatia katika vita ya madawa ya kulevya tungependa kusikia msimamo wake upoje.
Jana kwenye mkutano wa wakuu wa Majeshi ya Polisi kwa Nchi za Kusini mwa Afrika uliofanyika mjini Bagamoyo hakuwepo na badala yake aliwakilishwa na IGP Msaidizi Kaniki.
Ukimya wake unatutisha sisi wananchi hasa ukizingatia kwasasa tetesi ni nyingi kuhusu uhusiano wake na Kiranja.
Mwenye kujua atujuze alipo IGP Mangu.
Tuition mkuuHiki Ki-English mnakitoaga wapi?
Ha ha ha haaaaaa,, ndo mnakitowaga kwa Ras Simba au kwa Muchunguzi open school au kwa Kivuli cha Mvumo open school hapa Morogoro? Sawa mkuu utakielewa tu usife moyo,, si unaona kuna jamaa mpaka anaogopa kutoka kwenye fence ya nyumba yake shauri ya Ki-English?!! Ila siku nyingine badala ya now days useme tu "nowadays".Tuition mkuu
Sawa mtaalamu wa lugha.Ha ha ha haaaaaa,, ndo mnakitowaga kwa Ras Simba au kwa Muchunguzi open school au kwa Kivuli cha Mvumo open school hapa Morogoro? Sawa mkuu utakielewa tu usife moyo,, si unaona kuna jamaa mpaka anaogopa kutoka kwenye fence ya nyumba yake shauri ya Ki-English?!! Ila siku nyingine badala ya now days useme tu "nowadays".
JPM anatabirika,uzi huu ni wa muda lakini tayari ilishaonekana. Ni dhahiri safari ya Mwigulu ipo mbioni. January ajiandae.
Nishaagiza mkuuagiza pepsi baridi kwa bili yangu
HahahaJPM anatabirika,uzi huu ni wa muda lakini tayari ilishaonekana. Ni dhahiri safari ya Mwigulu ipo mbioni. January ajiandae.
JPM anatabirika,uzi huu ni wa muda lakini tayari ilishaonekana. Ni dhahiri safari ya Mwigulu ipo mbioni. January ajiandae.