Kweli?JPM anatabirika,uzi huu ni wa muda lakini tayari ilishaonekana. Ni dhahiri safari ya Mwigulu ipo mbioni. January ajiandae.
Tatizo sio lakoAKIONEKANA HADHARANI ILI IWEJE WAKATI AMEKWISHA TUMBULIWA? MUACHENI APANGIWE MAJUKUMU MENGINE
Soma thread hii ililetwa lini..AKIONEKANA HADHARANI ILI IWEJE WAKATI AMEKWISHA TUMBULIWA? MUACHENI APANGIWE MAJUKUMU MENGINE
Mtoa mada shikamoo...Ni muda mrefu umepita IGP Ernest Mangu hajaonekana hadharani wala kwenye media hasa ukizingatia katika vita ya madawa ya kulevya tungependa kusikia msimamo wake upoje.
Jana kwenye mkutano wa wakuu wa Majeshi ya Polisi kwa Nchi za Kusini mwa Afrika uliofanyika mjini Bagamoyo hakuwepo na badala yake aliwakilishwa na IGP Msaidizi Kaniki.
Ukimya wake unatutisha sisi wananchi hasa ukizingatia kwasasa tetesi ni nyingi kuhusu uhusiano wake na Kiranja.
Mwenye kujua atujuze alipo IGP Mangu.
Yametimia tayariNi muda mrefu umepita IGP Ernest Mangu hajaonekana hadharani wala kwenye media hasa ukizingatia katika vita ya madawa ya kulevya tungependa kusikia msimamo wake upoje.
Jana kwenye mkutano wa wakuu wa Majeshi ya Polisi kwa Nchi za Kusini mwa Afrika uliofanyika mjini Bagamoyo hakuwepo na badala yake aliwakilishwa na IGP Msaidizi Kaniki.
Ukimya wake unatutisha sisi wananchi hasa ukizingatia kwasasa tetesi ni nyingi kuhusu uhusiano wake na Kiranja.
Mwenye kujua atujuze alipo IGP Mangu.
Msamehe bure tu huyu maana naona ni 'new member'Jifunze kusoma tarehe ya kuletwa kwa mada kabla ya kukurupuka.. Itakusaidia!
Kausha mkuu maana wewe unaijua vizuri JF. Hizi touch kila mtu anaandika anavyotakaSoma thread hii ililetwa lini..
Jinga kabisa
Mikurupo.com kichwa maji wewe hii post ni kabla ya kutumbuliwa boya weweAKIONEKANA HADHARANI ILI IWEJE WAKATI AMEKWISHA TUMBULIWA? MUACHENI APANGIWE MAJUKUMU MENGINE
Hiki Ki-English mnakitoaga wapi?Kazi ipo now days
Mussolilin5 atakuwa ni Bashite huyu alikuwa anatusanifu! Wewe utajuaje vya jikoni hivyo?Salute kwako Mussollin5
Umetisha kwa maono Jamiiforums kuna watu munavipaji aisee
Post ya Mar 23/2017
May 28/2017 Andiko Linatimia umetisha mkuu
Wewe viongozi wapo humu.Salute kwako Mussollin5
Umetisha kwa maono Jamiiforums kuna watu munavipaji aisee
Post ya Mar 23/2017
May 28/2017 Andiko Linatimia umetisha mkuu