Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,246
Ni muda mrefu umepita IGP Ernest Mangu hajaonekana hadharani wala kwenye media hasa ukizingatia katika vita ya madawa ya kulevya tungependa kusikia msimamo wake upoje.
Jana kwenye mkutano wa wakuu wa Majeshi ya Polisi kwa Nchi za Kusini mwa Afrika uliofanyika mjini Bagamoyo hakuwepo na badala yake aliwakilishwa na IGP Msaidizi Kaniki.
Ukimya wake unatutisha sisi wananchi hasa ukizingatia kwasasa tetesi ni nyingi kuhusu uhusiano wake na Kiranja.
Mwenye kujua atujuze alipo IGP Mangu.
Ila kiitifaki wanakosea.Sio yeye tu, uliza wapi alipo Mama Samia, wapi Majaliwa?
Nchi iko na watu watatu tu kwa sasa JPM, Makonda na Sirro
Gumbo, Ally na HapiSio yeye tu, uliza wapi alipo Mama Samia, wapi Majaliwa?
Nchi iko na watu watatu tu kwa sasa JPM, Makonda na Sirro
Haya wahi Lumumba ukalambe buku 7 yakoKila mtu na kazi yake, IGP sio msanii wa kuonekana kila siku. Madawa ya kulevya yana kitengo chake.
Na kweli anajua ila kitu.muulize bashite atakua anajua kila kitu
Jifunze kuweka akiba ya maneno mkuuKila mtu na kazi yake, IGP sio msanii wa kuonekana kila siku. Madawa ya kulevya yana kitengo chake.
Ni muda mrefu umepita IGP Ernest Mangu hajaonekana hadharani wala kwenye media hasa ukizingatia katika vita ya madawa ya kulevya tungependa kusikia msimamo wake upoje.
Jana kwenye mkutano wa wakuu wa Majeshi ya Polisi kwa Nchi za Kusini mwa Afrika uliofanyika mjini Bagamoyo hakuwepo na badala yake aliwakilishwa na IGP Msaidizi Kaniki.
Ukimya wake unatutisha sisi wananchi hasa ukizingatia kwasasa tetesi ni nyingi kuhusu uhusiano wake na Kiranja.
Mwenye kujua atujuze alipo IGP Mangu.
Jifunze kusoma tarehe ya kuletwa kwa mada kabla ya kukurupuka.. Itakusaidia!AKIONEKANA HADHARANI ILI IWEJE WAKATI AMEKWISHA TUMBULIWA? MUACHENI APANGIWE MAJUKUMU MENGINE
Well said mkuu.JPM anatabirika,uzi huu ni wa muda lakini tayari ilishaonekana. Ni dhahiri safari ya Mwigulu ipo mbioni. January ajiandae.
Mkuu punguza kukurupuka.AKIONEKANA HADHARANI ILI IWEJE WAKATI AMEKWISHA TUMBULIWA? MUACHENI APANGIWE MAJUKUMU MENGINE
Naona huko Lumumba mmejaa mabashite matupu tangu wa juu kabisa hadi kwa nyie buku7. Wakati mada hii inaletwa hapa JF IGP alikuwa nani?AKIONEKANA HADHARANI ILI IWEJE WAKATI AMEKWISHA TUMBULIWA? MUACHENI APANGIWE MAJUKUMU MENGINE