PowerWithin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2014
- 645
- 501
Ndio maana wanapewa vyeo na kufunga midomo jumla!! Wasomi wanatakiwa ushauri wao utumike na weledi wao uwe njia ya mafanikio ikiwa ni kuendesha mijadala na kutoa maoni!Wasomi wetu na wataalamu wetu wanapotezwa kwa kitu kinachoitwa pesa ili kuwafunga midomo ya ukosoaji
U.uchwara je?.....,u-BASHITE(0%) nao?.Walikuwa wanaongea kipindi kile kwasababu kulikuwa na cha kucriticize. Sasa hawaongei kwasababu hakuna cha kucriticize!
Kweli bro, npo namuona hapaDr. Lwaitama leo yupo itv mubashara muda huu kwenye mjadala wa UDASA kuhusu muungano.Najua lazima atamwaga cheche kwenye huu mdahalo.
Watu wenye akili hawakimbizani na kichaaWamemkubali jembe Magufuri sasa waongee nini , wanaona kazi inafanyika lands waje kusifia hapo nyumbu mtavuka mto Mara na kutimkia Kenya
Ongea ueleweke! Sio kila mtu kipaji cha kuelewa pumba!U.uchwara je?.....,u-BASHITE(0%) nao?.
Lipumba ndiyo kafungwa mdomo na pesa za fisiemWasomi wetu na wataalamu wetu wanapotezwa kwa kitu kinachoitwa pesa ili kuwafunga midomo ya ukosoaji
Labda wewe na ukoo wako wa lumumbaWamemkubali jembe Magufuri sasa waongee nini , wanaona kazi inafanyika lands waje kusifia hapo nyumbu mtavuka mto Mara na kutimkia Kenya
Shivj kwishneyAhsante umenikumbusha mwalimu wangu wa critical thinking and argumentation aisee yule mzee ni hatari, hayo matusi kwa nguli Shivji yakurudie