Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

Laswai huwezi acha kumtaja kwenye historia ya mageuzi....alikuwa machachari Kama Tundu Lisu .....CCM wabaya ...wakamfanyia visa ...kumfukuza kazi UD,akafungiwa uwakili ...ubunge wakambana akapoteza ...Hii mbinu inaitwa starving
Mwisho akarudi ccm.....wakampa kazi mbili Tatu...baadaye walipohakikisha Hana Tena nguvu mitaaani wakamtupa......alikuwa na nguvu Sana kwa vijana ...lakini ikifikia anapita mitaaani vijana wanamnunnia na ccm ndicho walichotaka

Ni Kama nguvu alikuwa nayo Kabourou Kigoma ..nadhani hata Zitto hajaaifikia ,,watu walikuwa wanalaala train station kumsubiri Kama anakuwa ..lakini HUYO Leo Zitto kamagragaza vibaya ..wananchi wanamuadhibu kwa kuwasaliti
 
Ha
huyu msomi huwa ananishangaza,nywele hachani,havai viatu vya kufunika zaid ya sandals,hapigi pasi,mwilini yuko rough ila ubongo wake uko smart sana hata tundu lissu haoni ndani
Hamna kitu. Smart kwa lipi?
 
Wakuu,

Naomba anayejua habari za Dkt. Masumbuko Lamwai, mwanasiasa na mwana harakati kwenye miaka ya nyuma alikua kivutio kikubwa kwa vyombo va habari na wananchi hapa Tanzania.
 
Mwasheria ambaye hakuwa na msimamo, akadanganywa akawa ni wa kuhama hama na mwisho akapotea kwenye nyanja zote za siasa na sheria
 
Mwasheria ambaye hakuwa na msimamo, akadanganywa akawa ni wa kuhama hama na mwisho akapotea kwenye nyanja zote za siasa na sheria
Aisee yawezakuwa maana alikuwa alikuwa mchezaji mzuri sana kwenye siasa na sheria.
 
Yupo Lumumba kitengo cha sheria za Chama cha kijani
 
Nilimkuta mahakamani amechoka amevaa koti kubwa akiwatetea wahalifu wa kuku sikuamini ni yeye !!!! ilikuwa 2009 kule Moshi
 
Ni mhadadhiri Chuo kikuu Tumaini, na wakili maarufu bado!
 
Wakuu,

Naomba anayejua habari za Dkt. Masumbuko Lamwai, mwanasiasa na mwana harakati kwenye miaka ya nyuma alikua kivutio kikubwa kwa vyombo va habari na wananchi hapa Tanzania.
Alikua miongoni mwa wanasiasa niliowapenda miaka ya
90
 
Ukiwa mwanasiasa mnafiki hufikwa na mwisho kama alio nao bwana masumbuko lamwai
Ndivyo utakavyo kuwa mwisho wa Lipumba pia
 
Yupo anaungaunga maisha tu. Kwa sasa ni mwanasheria wa Ghullam Dewji na bado ni mhadhiri.
 
[HASHTAG]#Omojubi[/HASHTAG]

Utabiri wako wa Feb 20/2013 na leo hii ni disembar 27/2016, Utabiri wako umetimia, ahsante sana
 
Umeongea kama kiongozi wa kiroho, nimeipenda
 
Huyu jamaa alikuwa tegemeo la kambi ya upinzani kabla hajaamua kulinda maslahi ya familia yake.Angeamua kusimamia anachoamini kama alivyofanya prof Baregu leo hii angrkuwa mtu mwenye heshima kubwa upande wa wanamageuzi,pia angekuwa hazina kubwa ya mabadiliko kama Lisu
 
Kwahiyo haya ya akina Masha leo hii sio mambo mapya kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…