yoyote yule anayatake ni mtengeneze computer yake

mrlonely, angalia title na uirekebishe, unless una maana hiyo. Nadhani ingesomeka "nimtengenezee" na siyo "nimtengeneze". Wengine wataogopa.
Kila la heri katika kutengeneza.
 
vifaa vingine vya Electronics kama tv unatengeneza?halafu tungepata na cv ya kampuni ingekuwa bomba sana.Maana nyie mafundi hamuaminiki.Nasikia fundi kinyozi pekee ndio mwaminifu katika aina zote za mafundi.
 
absolutely right mkuu!!, sema tu kinyozi ubaya wake labda atakukosea kidogo kukunyoa, lakini inaaminika kwamba kinyozi akikosea basi hiyo ni Style mpya au mtindo mpya!! hahaaaa ahahaaa
icon10.gif
 
hahahahaaaaaaaaaa.kweli kabisa,na utapata watu kibao wa kukuiga hiyo 'style' mpya.
 
hahahaaaa, unaikumbuka ile staili ya Ronaldo wa brazil alinyoa kibwenzi flani hivi!!, ile mi nahisi fundi alimkosea then ikabidi azuge, heee kesho yake kila mtu kanyoa vile vile!.

hakuna fundi waongo kama SEREMALA na Fundi NGUO, mamamaaaaa njoo kesho nyiiiiiiiiiiiiingi, duh.
 
Sema fundi wote ,hao fundi nguo ni balaa wa kuleta zogo kwenye ndoa za watu,Zile tape measure sehemu nyeti kwa kweli wanaume wengi huwa hawawezi kuvumilia.Wanapima sana maumbo ya watu.
 
aseee, umenikumbusha komedi flani ya kina joti enzi hizo, jamaa alikua anachukua vipimo huku kamkumbatia demu wa watu kiunoni, ghafla mwenye mke si akapita akaona, duh fundi joti alishushiwa kipondo cha kufa mtu!.
 
mr lonely naomba kama itawezekana uainishe baadhi ya huduma unasotoa kuhusu utengenezaji wa pc, wewe unadeal na mambo gani haswa.
 
asalaam mimi ni pc elctrition natengeneza computer yoyote ubovu wowote bei zangu ni nafuu
Weka CV watu wajue umesoma hadi level gani ili waondoe doubt, kwani umeshajijengea mazingira ya kutiliwa shaka kutokana na maandishi yako.
 
asalaam mimi ni pc elctrition natengeneza computer yoyote ubovu wowote bei zangu ni nafuu
Mzee unakumbuka kuichangia JF kwa pesa hata kidogo? maana umeweka tangazo lako hapo, sijapitia listi ya waliochangia ila maamini upo katika wale wenye moyo wa kuendeleza JF.
 
absolutely right mkuu!!, sema tu kinyozi ubaya wake labda atakukosea kidogo kukunyoa, lakini inaaminika kwamba kinyozi akikosea basi hiyo ni Style mpya au mtindo mpya!! hahaaaa ahahaaa
icon10.gif

kinyozi unamwona mwaminifu kwa sababu umwachii kichwa, lakini na yeye ukimkabidhi kichwa uje kesho yake yangekuwa yaleyale
 
Umenivunja mbavu!! ngoja nikapumzike kidogo alafu niru tena kusoma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom