PierreLiquid
JF-Expert Member
- Oct 16, 2019
- 596
- 2,328
Je, kuna mdau yoyote alishawahi kufanya nao kazi? Ilikuwaje? Kazi zao zinafanyika kwenye mazingira gani hasa sales/consultancy category? Ni sehemu sahihi kikazi kwa maslahi ya kusongesha siku? Unanishauri vipi mimi kama ndugu yako kwenye hii ajira?
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app