Yoyote Anayefamu Duka la Electronics devices ambapo naweza pata MICROCONTROLLER Programmer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yoyote Anayefamu Duka la Electronics devices ambapo naweza pata MICROCONTROLLER Programmer

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by gkiwango, Jan 1, 2012.

 1. gkiwango

  gkiwango Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Naomba msaada wenu wadau
   
 2. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2012
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Mkuu,

  Nice to hear you are interested in micro controller programming. I have been doing micro controller designing on PIC chips for a while, just out of hobby.

  I am not aware of stores that sell MC programmers here. First of all, why should they sell such stuff? There are very few people involved with MC programming here in TZ which can't justify the market.

  If you are based in TZ, the best option is eBay. There are Chinese, Philippines and other Asians companies stores that can ship to your P.O Box in TZ. No extra charges since they are quite small stuff in size. However, you need to have access to credit/debt card. Personally I use Visa card from CRDB + Internet Banking without problems.

  The down side is that it may take up to 4 weeks to arrive in Dar - but no problem. Good things are worth waiting for.

  Hope that helps.

  Ram
   
 3. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wakuu kwa faida ya wengine, hii MC PROGRAMMER ndo nini, inafanya kazi gani, faida yake nini.......just curious
   
 4. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Good stuff...

  I really believe that there is a big demand out there given the rising number of electrical/electronic engineering college students. However, the actual problem might be lying on the suppliers who haven't sniffed this opportunity.
   
 5. alpha1

  alpha1 Senior Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 173
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mkuu,
  Angalia kwenye website ya Online Store ambayo link yake iko hapo chini unaweza kupata kwa gharama ndogo. Hata kama ukikosa, wasiliana na hao jamaa wanaweza kukuagizia bila usumbufu wowote. Wao wako Dar es salaam, hivyo na wewe kama uko Dar unaweza kuonana nao ana kwa ana. Pia unaweza kununua bidhaa zao kwa kutumia M-Pesa, halafu wao wanakutumia popote ulipo kwa kutumia anuani utakayowapa. Wanazo Electronic Components kama PICs,LCDs,7-Segment LEDs n.k.

  Tanzania Electronics Online

  alpha1
   
 6. i

  iMind JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,907
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Ni electronic chip ambayo unaweza kuiamrisha kupitia program kufanya viti mbali mbali. Kwa mfano chukilia radio yako nyumbani. Waweza kuiamuru ifingue deck ya cd ikafungua. ibadili station ikabadili n.k vyote hivi vinawezekana kwa sababu ndani yake kuna micro controller ambayo imekuwa programed kufanya hivyo.
   
 7. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #7
  Mar 24, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  Ram,ve,

  siifahamu hiyo kitu kabisa,lakini kwa jinsi ulivyomjibu huyo jamaa nimefurahi,its proffesional and constructive
  naomba unieleweshe na mm ni nn hiyo na kwann sisi hatuna time nayo

  Thanks,
   
 8. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,342
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  mkuu. Nenda DIT DSM INST OF TECH. Mtafute Mr. Stanley Mwalembe. Sio tu atakwambia wapi pa kuipata isipokuwa atakufundisha pia. Ni mkali sana huyu jamaa. Ukitaka number yake we ni PM nitakutumia
   
Loading...