Youtubers tukutane hapa

Okay hivi ikizidi mwaka Kama hujafika vigezo ukija fikisha vigezo wanaweza ku monetize au..?
Ikija kufikisha vigezo hata kama ina miaka 3 ukiomba na ukawa na sifa wanaruhusu kumonetize hakuna Tatizo.
 
Mkuu chaneli yako imekidhi vigezo vya monetize..?
 
Nimeicheki nimeona ipo vizuri lakini hujakutana na issue ya copyright kwa wingi maana naona nyimbo tofauti za wasanii
Ilipata moja tu tena ilikuwa ni nyimbo ya ngwear alichukua beat ya wamarekani huko wakaiona wakaripoti! Kwa hawa wa ndani sijapata hata moja wengine naona ndo wanasapoti!
 
Ilipata moja tu tena ilikuwa ni nyimbo ya ngwear alichukua beat ya wamarekani huko wakaiona wakaripoti! Kwa hawa wa ndani sijapata hata moja wengine naona ndo wanasapoti!
Ipo vizuri nimeona subscribers wapo 3K ushajiunga na Google AdSense
 
Mkuu mpe moyo
Hapana mkuu siwezi kumpa moyo coz nitakuwa namdanganya

Hizo nyimbo anazo tumia ni za watu na tayari kuna baadhi zipo YouTube

Kimbuka kila video iliyo_uploadiwa YouTube Ina ID yake kwa hivyo bot za YouTube zinajua kabisa hizo video zilishawekwa mtandaoni.

Anachotakiwa Kufanya kitu chake mwenyewe ili asije kujisumbia baadae Unapokuwa kakidhi vigezo alafu mwisho anaambiwa hizo contents zilishatumika.

Akashindwa ku-monetize channel yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…