YOUTUBERS TUKUTANE HAPA

YOUTUBERS TUKUTANE HAPA

Una amini umoja ni nguvu?

  • Ndio

    Votes: 10 90.9%
  • Hapana

    Votes: 1 9.1%

  • Total voters
    11

fagix

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
741
Reaction score
563
Awali ya yote niwasalimu ndugu zangu!

Pia tumshukuru mungu kwa jukwaa letu maridhwa kurudi hewani tena.
Tangia sheria ya maudhuwi mtandaoni kuanza kufanya kazi/kutumika hali imekuwa mbaya kwa vijana wengi walio jiwekeza kwenye youtube channel.
Ni jambo la wazi kuwa vijana wengi richa ya kuwa na youtube channel ila mitaji yao bado midogo kuhimili malipo ya lesseni na kufungua studio ya thamani kubwa.

Lengo la uzi huu
1. kuwakutanisha youtubers wachanga na wakongwe
2. kupeana taratibu za kufuata hadi kuwa na lesseni.
3. Njia za kuweza kupata wadhamini ili kuweza kuwa na uwezo wa kuendesha channel kwa ufanisi.


Mwisho niseme asante
 
Back
Top Bottom